Sunday, March 30, 2014

HII NDIYO VIDEO YA KIMYA KIMYA AMBAYO HAIPASWI KUANGALIWA NA WATOTO NI KUANZIA +18 ILIYOTOLEWA NA Candy N Candy KENYA




Unless you have been wrestling anacondas deep in the Amazon jungle you have heard about the new kid in the production block, Candy N Candy Records.

Since its inception, Candy and Candy has signed some of the best talents among them Mr. Nice, Baby Madaha and Hussein Machozi.
So far Baby Madaha has been their biggest success stories in the record label as in a short time thisatresscum musician is causing ripples with her hits among them 'Summer Holiday' and 'Squeeze Me Tight'
The Candy N Candy reign does not stop there and they have produced the most titillating, sexual video ever that goes by the name Nice and Slow.



 

INSTAGRAM KUNA MAMBO!!

BAADA YA LULU KUSHAMBULIWA NA MASHABIKI KWA KUCOPY NA KUPASTE... NAYE AWAJIA JUU NA KUONGEA HAYA...!! SOMA HAPA

Baada ya mashabiki kumjia juu Mwanadada Lulu Michael juu ya ku copy na ku paste pozi la mwanamuziki Rihanna, naye Lulu hakuwa nyuma aliamua kujibu mashambulizi hayo.

Nanukuu "Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada @badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri@badgalriri @badgalriri ��������nione basi������....haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii apa������������������������������������������������������������������Haina mafuriko,madimbwi wala foleni....kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!��Nawapenda lkn��"mwisho wa kunukuu

YAFAHAMU MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA ENDAPO UTATUMIA WHATSAPP SANA KATIKA SIMU YAKO...


 
Daktari mmoja wa Hispania amedai kukutana na mgonjwa wa kwanza wa ‘WhatsAppitis’, tatizo lililotokana na kuchat kwa WhatsApp kwa muda mrefu.
Mgonjwa huyo ambaye hakutajwa jina amedai kupata maumivu katika vifundo vya mkono alipoamka asubuhi.
Baada ya madaktari kumfanyia uchunguzi mgonjwa huyo, walidai kuwa wamegundua tatizo lake limetokana na kuchat kwa masaa sita kwa simu yake kwa kutumia whatsApp.
Dokta InĂ©s Fernandez-Guerrero, wa Granada’s General University hospital amesema kuwa mgonjwa huyo mwenye miaka 34 aliyekuwa na ujauzito wa wiki 27, alianza kusikia maumivu makali katika vifundo vyote vya mikono baada ya kuamka asubuhi.
Baada ya uchunguzi waligundua kuwa mgonjwa huyo hakuwa na historia ya ‘trauma’ na hakuwa ameshiriki katika shughuli yoyote ya kuchosha mwili kupita kiasi katika siku zilizopita, lakini baada ya kuzungumza naye tatizo likajiweka wazi.
Dokta huyo alidai kuwa mgonjwa huyo alitumia simu yake yenye uzito wa g 130 kujibu messages za Whatsapp kwa masaa sita mfululizo.
Mgonjwa huyo alipewa dawa za kupunguza maumivu na kuzuiwa kutumia simu yake.
Madaktari hao wamesema kuwa tatizo kama hilo ni jipya katika matatizo ya hi-tech, na kuwashauri watumiaji wa App za kuchat kama WhatsApp, Viber na zingine kuwa makini wanapochat kwa muda mrefu katika simu zao.

HII NI KWA WANAUME TUU!!

HAYA NDIYO MADHARA MAKUBWA WANAYOPATA WANAUME WANAOPENDA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-   
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo. 
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa. 

Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland) Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.  Tano: Kuharisha.  Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).  Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.Ni hayo tu..