HAYA NDIYO MADHARA MAKUBWA WANAYOPATA WANAUME WANAOPENDA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland). Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo. Tano: Kuharisha. Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi). Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.Ni hayo tu..
No comments:
Post a Comment