PICHA ZA MASAI NYOTAMBOFU BLACK FIT NA INSPECTOR HAROON WALIVYOPIGA SHOW YA HATARI DAR.
| ISPECTA Harun pia alikuwepo |
| Mnenguaji wa MASAI NYOTAMBOFU akionesha vitu vyake |
| Masai nyotambofu kabla ya kuanza show |
| Masai nyotambofu akiwasalimia Watazamaji mjini Temeke |
| Mshabiki wakisubili Radha kutoka kwa nyotambofu |
| Ilikua ni Hatariiiii!!!! |
| Nyotambofu akidondosha moja moja |
| Masai nyotambofu akiwasha moto mjini Dar es salaam |
| Mashabiki wakisema pamoja |
| Mashabiki wapo makini na Masai nyotambofu |
| Kicheko mpaka machozi |
| EEeeeeeeeeeeeeee mpaka kuamua kukaa chini |
| Masai nyotambofu akiendelea kumwaga ladha |
| Masai nyotambofu akiendeleza kumshukuru mola |
| Watu wakiendelea kupewa DHANA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI 2013 |
| AAAAAAaaaaaaa zimeisha Jemeni sorry |
| Ispecta akiwakonga nyoyo mashabiki wake pamojah na Black fit |
| BLACK FIT AKIWA JUKWAANI |
| Mashabiki nao walikua makini mbaya |
| Masai akiwapa ushauri mashabiki wake baadaaa ya kazi nzito |
| Mashabiki kufurahi pamoja na Masai nyotammbofuu |
| PICHA YA PAMOJA |
| MASHABIKI NAO NOOMA BLACK FIT AKISHANGAA |
No comments:
Post a Comment