![]() |
wasamaria wema wakisaidia kumpakia kwenye gari kwa kumpeleka hospital |
![]() |
damu ya marehemu ambayo kwa kiasi kikubwa imetoka kichwani baada ya kupasuka vibay |
![]() |
mwili wa marehemu ukiwa tayari kuondolewa kwenda hospitali |
![]() |
hii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbaya |
![]() |
Umati wa watu ukishuhudia ajali maeneo ya ilala boma asubuhi hii |
![]() |
askari trafiki akichukua maelezo kwa dereva aliyesababisha ajali |
No comments:
Post a Comment