Jomawao Blog
Pages
(Move to ...)
Home
About Us
Contact Us
Jomawao Blogspot. The Blog that going extra mail to archive what public need!
▼
Wednesday, June 5, 2013
LIVE TAZAMA PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO ALBERT MANGWEA ATAZIKWA BAADA YA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
picha kabla msiba hujawasili Morogoro kwao Mangwea!
Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea.
Masufuliya ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro.
Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa padogo.
Baadhi ya bdg na jamaa wa marehemu wakiwa wanaugulia maumivu ya kutokwa na ndg yao mpendwa Ngwea!
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment