TAARIFA::LANGA KUZIKWA JUMATATU HII MAKABURI YA KINONDONI
Mazishi ya rapper Langa Totty M Kileo yanatarajiwa kufanyika Jumatatu ijayo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Langa alifariki jana jioni baada ya kulazwa katika hospitali ya
Kinondoni na kisha kuhamishimwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili
kutokana na kusumbuliwa na Malaria pamoja na homa ya uti wa mgongo,
Meningitis. Langa Kile alizaliwa December 23, 1985. Mungu ailaze mahali pepa roho ya marehemu.
No comments:
Post a Comment