| nikiwa njiani kuelekea Akemi Golden Jubelee Plaza kulikokokuwa kukifanyika uzinduzi wa kinywaji cha NOVIDA |
| Sikuwa peke yangu,niliongozana with ma boy,Romy Jones |
| Naheshimu sana fans wangu,hawa ni moja ya fans wangu waliotaka picha ya ukumbusho baada ya kuniona nikiingia |
| Nikipata picha pamoja na fans wangu |
| Upande wa kaunta |
| Baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari wakisubili time ya kuzinduliwa rasmi kinwaji cha NOVIDA |
| Mrembo akifungua kitambaa kama ishara ya kuzinduliwa na kutambulishwa kwa kinywaji kipya cha NOVIDA |
| huu ndio mwonekano wa kinywaji cha NOVIDA |
| Nikiteta jambo na ndugu yangu Rommy J |
| |
| Ukumbi ulitawaliwa Green ambayo ndio color ya kinwaji cha NOVIDA |
| Ally Rwemtullah with friend |
| Ally Rwemtullah,Diamond,Rafiki wa Ally na Romy Jones |
| Nikitaniana with my Brother,Mater jay |
| ...........Kalabani....... |
| Zoezi lilifanyika salama ..with my boy kwenye lift |
| Nikiwa njiani kuelekea Nyumbani.. .guess ni nani alkuwa akinipgia .... |
No comments:
Post a Comment