![]() |
Mbaga akisulubiwa na wananchi.
|
![]() |
| Gari aina ya Toyota Harrier walilotaka kuiba power window Mbaga na wenzake. |
“Kabla ya kumalizia zoezi lao mlinzi wa hospitali hiyo aitwaye Jonas Mwakajinga aliwasikia ndipo alipofika na kuwakurupusha,” kimesema chanzo hicho.
![]() |
| Wananchi wakiwa wameandaa tairi tayari kumtia kiberiti Mbaga kabla ya polisi kufika eneo la tukio na kumnusuru. |
Wakati mlinzi akipambana na Mbaga wananchi wenye hasira walifika eneo la tukio na walipopata maelezo walianza kumpa kichapo cha kufa mtu mtuhumiwa huyo wakisema itakuwa fundisho kwa wengine.
![]() |
| Kipondo kikiwa kimepamba moto kwa Mbaga. |
“Mimi kazi yangu ni data manager niko maeneo ya Mlimani City, naishi Sinza Lion kwa Massawe,” alisema kijana huyo.
![]() |
| Mbaga akiwa hoi baada ya kichapo. |
![]() |
Wananchi wakishuhudia tukio hilo.
|
![]() | |
| Polisi wakijaribu kuchukua maelezo ya mtuhumiwa baada ya kuwasili eneo la tukio. |
![]() |
| Polisi wakimbeba Mbaga kumpeleka kwenye difenda. |
Kutokana na hali mbaya ya mtuhumiwa huyo, askari hao walilazimika kumpeleka Hospitali ya Mwananyamala ili aweze kupata matibabu.
![]() | |
| Mbaga akiingizwa kwenye difenda. |
![]() |
| Safari ya kuelekea Mwananyamala ikaanza. |












No comments:
Post a Comment