Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukiwasili nyumbani kwao Mburahati leo jijini Dar es Salam.
MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki juzi amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuria na mamia ya watu.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA DENIS MTIMA/GPL)
No comments:
Post a Comment