Pages

Tuesday, March 10, 2015

Kijana usichukulie poa, kajiandikishe!

Zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura limemalizika rasmi katika kata ya Kitindililo. Wakazi wa kata ya Mhongole, kaeni tayari; zoezi linatarajia kuanza katika kata hiyo kesho tarehe 11-03-2015 na kuendelea kwa muda wa siku saba mpaka Jumanne ya tarehe 17-03-2015. Ndani ya Hot Mix leo ni tathmini ya zoezi zima katika kata nane ambako zoezi limeshafanyika mpaka sasa. Usikose. ‪#‎ZamuYako2015‬
'Kijana  usichukulie poa, kajiandikishe!

Zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura limemalizika rasmi katika kata ya Kitindililo.  Wakazi wa kata ya Mhongole, kaeni tayari; zoezi linatarajia kuanza katika kata hiyo kesho tarehe 11-03-2015 na kuendelea kwa muda wa siku saba mpaka Jumanne ya tarehe 17-03-2015. Ndani ya Hot Mix leo ni tathmini ya zoezi zima katika kata nane ambako zoezi limeshafanyika mpaka sasa. Usikose. #ZamuYako2015'

No comments:

Post a Comment