Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa hotuba ya ufungaji wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kilichofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro. Kikao hicho cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa mwaka wa fedha 2013/2014 kilifunguliwa rasmi Oktoba 21, 2013 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Ame Silima(Mb). Baadhi ya Wajumbe Washiriki wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa mwaka wa fedha 2013/2014 wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani) wakati akitoa hotuba ya ufungaji wa Kikao hicho katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini( wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Magereza Mikoa yenye miradi ya Shirika la Uzalishaji la Magereza kwa waliosimama katika picha( wa pili kushoto) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile( wa tatu kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa( wa pili kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala, Gaston Sanga( wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Ndg. Janabi(wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Morogoro, Naibu Kamishna wa Magereza, James Selestine. Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza.
Wednesday, October 23, 2013
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI, JOHN CASMIR MINJA AFUNGA KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI LA MAGEREZA MKOANI, MOROGORO.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa hotuba ya ufungaji wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kilichofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro. Kikao hicho cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa mwaka wa fedha 2013/2014 kilifunguliwa rasmi Oktoba 21, 2013 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Ame Silima(Mb). Baadhi ya Wajumbe Washiriki wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa mwaka wa fedha 2013/2014 wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani) wakati akitoa hotuba ya ufungaji wa Kikao hicho katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini( wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Magereza Mikoa yenye miradi ya Shirika la Uzalishaji la Magereza kwa waliosimama katika picha( wa pili kushoto) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile( wa tatu kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa( wa pili kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala, Gaston Sanga( wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Ndg. Janabi(wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Morogoro, Naibu Kamishna wa Magereza, James Selestine. Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment