Watu wenye Albinism wanakosa chembechembe zinazotengeneza rangi ya asili ya ngozi inayoitwa melanin.Chembechembe hizi hutengenezwa katika ngozi,macho na katika nywele. Watu wanaokosa rangi ya asili yaani Melanin ni rahisi zaidi kupata saratani ya ngozi kwa kuwa ngozi hiyo haina kinga dhidi ya mionzi ya jua. Pia kutokana na tatizo hilo watu wenye Albinism wana uoni hafifu na wanapata shida wakati macho yao yanapokutana na mwanga mkali.
No comments:
Post a Comment