RAIS KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA, AHANI MSIBA WA TRAFIKI ALIYEGONGWA NA GARI AZINDUA MAABARA YA UHANDISI JENI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha historia ya Uuguzi na Ukunga
nchini wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga
Tanzania katika bustani ya Mnazi Mmoja leo Machi 19, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo alipokwenda
kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada
ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa
marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu alipokwenda
kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada
ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu
sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka kufungua rasmi Maabadara ya kisasa ua
Uhandisi Jeni (Genetic Engineering) katika kituo cha utafiti wa Kilimo
cha Mikocheni jijini Dar es salaam leo Machi 19, 103. Kushoto ni Dkt
Chrtistopher Chiiza na wa pili kulia ni Mku wa kituo hicho Bw. Joseph
Ndunguru
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na
IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani
aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo
Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo.
PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment