Saturday, September 28, 2013

SIRI YAFICHUKA...YULE DAKTARI FEKI ALIYENASWA MUHIMBILI AKITOA HUDUMA KWA WAGONJWA KUMBE NI FUNDI UMEME..!!




SIRI imefichuka! Kumbe yule Dokta Dismas John Macha aliyenaswa kwa tuhuma za kujifanya daktari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar, Jumanne wiki hii, ni fundi wa umeme wa nyumbani, Risasi Jumamosi linaianika.
Akizungumza na mwandishi wetu Jumatano wiki hii, mmoja wa maafisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Polisi ambaye hakutaka jina lake liandikwe kwa kuwa si msemaji wa jeshi hilo, alisema kwa mujibu wa uchunguzi wao, ilibainika kwamba dokta huyo feki ni fundi umeme wa siku nyingi.
Afisa huyo alisema kuwa hadi sasa uchunguzi zaidi juu ya Macha unaendelea ili kujua mambo mengine yaliyojificha.
Hata hivyo, hakuweka wazi ni hatua gani ambayo anaweza kuchukuliwa na kusisitiza kuwa lile ni kosa kubwa kwani linahusisha afya na maisha ya watu.
Baadhi ya mambo ambayo tumeyabaini kuhusu huyu jamaa, ni kuwa kumbe ni fundi umeme wa nyumbani na alichokuwa akifanya Muhimbili ni kutaka kujipatia fedha kwa mkato japo tunaendelea kupeleleza kujua ni wapi alipata vifaa vya udaktari,” alisema na kuongeza:
Tuhuma kama hii ni nzito, inahusisha afya na maisha ya watu kwa jumla, taratibu zinaendelea kujua mengi sana juu ya huyu bwana.”
Macha ambaye anadaiwa kutafutwa na uongozi wa Muhimbili kwa muda mrefu, alikamatwa na kufikishwa kwenye kituo cha usalama cha Muhimbili (Muhas) kwa mahojiano zaidi ambapo habari zilidai alisema yeye ni daktari wa Mwananyamala ambaye alifika hapo kwa ajili ya kuangalia wagonjwa wake wa nje.

KAMA UNAVYOONA Giggs NA Neville WALIVYOTEMBELEA HOTEL YAO YA 'football', NA Scholes AKIFUNDISHA KIZAZI KIPYA.


Manchester United legends Ryan Giggs and Gary Neville turned up on Friday to have a look around the site of the 'football hotel' they are building.
Another United old boy Paul Scholes was also spotted, taking a training session with children at the Ivybridge Community College.
Giggs and Neville have launched a joint hospitality company – GG Hospitality – with ambitions of developing a worldwide football-themed hotel and restaurant empire.

Exploration: Ryan Giggs and Gary Neville visit the construction site of their first hotel
Exploration: Ryan Giggs and Gary Neville visit the construction site of their first hotel
Looking good: Giggs and Neville seem happy with how everything's going so far
Looking good: Giggs and Neville seem happy with how everything's going so far
Big plans: They hope that the company will eventually own hotels all over the world
Big plans: They hope that the company will eventually own hotels all over the world

The first hotel, being built right next to Old Trafford, will be a 138-bed venue with a five-a-side pitch on the roof. 
The 10-storey building will also house a supporters club, and Neville has previously said it will play host to up to 1,250 fans before matches.
Giggs and Neville were on site and pictured talking to the builders who are working on the project.
According to 'Caterer and Hotelkeeper', Hotel Football is costing £20million as the players link up with two Singaporean businessmen - Kiam Ho and Andy Yun - as the major shareholders.
Friends of the footballers as well as some fellow players are also reported to be involved in the project.
Gary Neville has submitted plans for a 10-storey, 139-bed hotel with a rooftop football pitch in the shadow of Old Trafford
Empire: Gary Neville also plans to build 10-storey, 139-bed hotel with a rooftop football pitch near Old Trafford
Nearby: The hotel will be in the shadow of Old Trafford and is a great location for football fans
Nearby: The hotel will be in the shadow of Old Trafford and is a great location for football fans

Lofty ambition: Giggs and Neville in front of a crane
Lofty ambition: Giggs and Neville in front of a crane
It is unknown how much money that Neville and Giggs are committing themselves to the company GG Hospitality. 
It will be the parent company of Cafe Football, with the first restaurant outlet to open its doors in the Westfield Centre in Stratford later this year. 
It is expected to seat around 120 people and will be offering affordable food, with two courses available for £16-per-head. 

Giggs said: 'We have lived and breathed every element of this for a considerable time now and have been involved in every detail, every step of the way. We've stayed in lots of hotels as footballers and often felt that we could do a better job.

'We have left nothing to chance and are working with some of the best people in the business to achieve our vision'.
Giggs also confirmed that there will be subtle hints of football visible around the hotel, although the pair will not go so far as to allow football shirts to adorn the walls. 

The hotel is said to be targeting the three-to-four star market and will be charging between £80 and £150 per night. 
Joining in: Paul Scholes turned up at the Ivybridge Community College to participate in a training session
Joining in: Paul Scholes turned up at the Ivybridge Community College to participate in a training session


In the long term, there are ambitions to expand the restaurants and hotels to other cities with a vibrant footballing identity, including Liverpool and Birmingham while the chain could also go global with football-mad Asia earmarked as a particularly fertile area for expansion.
Scholes, meanwhile, was also up to extra-curricular activities, but of a footballing nature. 
Students at Ivybridge had not been told that the former England international was coming and his arrival stunned them. 
He scored a spectacular goal during a seven-a-side match that the college held.

Tazama picha ikionyesha mchina aliye na Pua mbili, Hii imetokana na kupata ajali kwenye gari na kusababisha pua yake moja original kutofanya kazi.Na sasa kaoteshewa nyingine kwenye paji lake la uso!


A Chinese man has had a new nose grown on his forehead.
The man, who has only been named as Xiaolian, had the treatment to create a replacement for his original nose which was infected and deformed.

Xiaolian, 22, had a new nose grown on his forehead after his original one was irreparably damaged in a traffic accident. The new nose was sculpted from cartilage taken from his ribs
Xiaolian, 22, had a new nose grown on his forehead after his original one was irreparably damaged in a traffic accident. The new nose was sculpted from cartilage taken from his ribs

The procedure was carried out at a hospital in Fuzhou, Fujian province.
The 22-year-old damaged his nose in a traffic accident in August 2012 but failed to seek treatment.

As a result, an infection corroded the cartilage leaving the surgeons unable to repair it.
They were left with no choice but to grow him a new nose and then to transplant it in place of his damaged one.
Doctors say that they will soon be able to carry out a transplant operation to replace the damaged nose with the newly grown one
Doctors say that they will soon be able to carry out a transplant operation to replace the damaged nose with the newly grown one

The nose was created by placing a skin tissue expander onto Xiaolian’s forehead.
This was cut into the shape of a nose and was supported by cartilage taken from the man’s ribs.
Surgeons say that the nose has developed well and that the transplant surgery will be carried out soon.

MKE WA MTU AKITONGOZWA ANATAKIWA KUKATAA ILI KULINDA NA KUJIHESHIMU KTK NDOA YAKE. ONA PICHA KWA YALIYEMKUTA HUYU WA IRINGA



Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo



Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania


Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha. Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

Angalia picha za Zima moto wa Mbeya Walivyo pigania Moto kwa ajali ya MAGARI MANNE YAGONGANA NA KUSABABISHA VIFO MBEYA.







          WILAYA YA MBEYA VIJIJINI - AJALI YA MAGARI MANNE KUGONGANA NA
                                                              KUSABABISHA VIFO.  
§ MNAMO TAREHE 26.09.2013 MAJIRA YA SAA 06:45HRS HUKO KATIKA MTEREMKO WA PIPE LINE INYALA BARABARA YA MBEYA/IRINGA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI MKOA WA MBEYA. GARI T.605 AXX /T.480 CAX AINA YA  SCANIA LORI LIKITOKEA NCHINI ZAMBIA KUELEKEA DAR – ES SALAAM LIKIENDESHWA NA DEREVA WILSON  MACHA, AKIWA NA TINGO WAKEJUMA S/O SALEHE WOTE WAKAZI WA DSM [AMBAO KATIKA AJALI HIYO WOTE WAMEFARIKI DUNIA] LILIGONGA KWA NYUMA GARI T.548 BLY/ T.974 BVN AINA YA  SCANIA LORI LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA SAMWEL  ARON, MIAKA 30, MBENA, MKAZI WA SINZA, KISHA GARI HILO LILILIGONGA GARI T.876 BKV/T.465 BQU AINA YA  IVECO LORI AMBALO LILIKUWA LIMEEGESHWA PEMBENI YA  BARABARA LIKIWA LIMEHARIBIKA, LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA SAMWEL  KASUSU, MIAKA 37, MJITA, MKAZI WA GONGO LA MBOTO DSM.
§  AIDHA GARI HILO  T.605 AXX /T.480 CAX LIKIWA LIMEPOTEZA MWELEKEO LILIGONGANA USO KWA USO NA GARI T.255 AKV/T.272 CDZ AINA YA  SCANIA LORI LILILOKUWA LIKITOKEADSM KUELEKEA MBEYA MJINI AMBALO LILIKUWA LINAENDESHWA NA DEREVA SIXTUS S/O KAPINGA, MIAKA 35,MNGONI, MKAZI WA DSM AMBAYE ALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA MWILI WAKE KUTEKETEA KWA KUUNGUA MOTO.
§   KATIKA AJALI HIYO  MAGARI MAWILI T.605 AXX /T.480 CAX  NA  T.255 AKV/T.272 CDZ  YOTE YAMEUNGUA VICHWA NA KUTEKETEA NA GARI  T.548 BLY/ T.974 BVN LILIUNGUA KIDOGO SEHEMU YA  KICHWA UPANDE WA KULIA.
§  CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI WA GARI T.605 AXX /T.480 CAX.
§  MOTO ULIZIMWA KWA USHIRIKIANO KATI YA KIKOSI CHA ZIMA MOTO NA UOKOAJI KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI NA WANANCHI.
§  MIILI YA MAREHEMU WILSON  MACHA NA JUMA  SALEHE IMEHIFADHIWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA. JITIHADA ZA KUUTOA  KATIKA GARI MWILI WA MAREHEMU  SIXTUS S/O KAPINGA PAMOJA NA KUTOA MAGARI ENEO LA TUKIO  ZINAENDELEA.  
§   KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO KWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA  ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.
Signed By:
                                                      [DIWANI ATHUMANI - ACP]
                                         KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
    PICHA NA MDAU W MBEYA YETU

Friday, September 27, 2013

Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ina upungufu.Warioba.



warioba_16def.jpg
Wakati wananchi wa kada mbalimbali wakishinikiza Rais Jakaya Kikwete kutokusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba 2013, kwa maelezo kuwa una kasoro, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba naye amesema sheria ina upungufu.
Warioba alisema jana kwamba ni jambo la kushangaza sheria hiyo kueleza kuwa tume hiyo itavunjwa baada ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwenye Bunge Maalumu la Katiba, wakati huohuo ikieleza kuwa itahusika tena kusimamia utoaji wa elimu ya kura ya maoni.
Kauli hiyo ya Warioba imekuja wakati vyama vya NCCR Mageuzi, Chadema na CUF, vikifanya mikutano nchi nzima kuwashawishi wananchi kupinga kile wanachokiita hujuma dhidi ya upatikanaji wa Katiba Mpya.
Sheria hiyo ambayo Warioba amesema ina upungufu, muswada wa marekebisho yake ulijadiliwa na kupitishwa wa wabunge Septemba 6, mwaka huu katika Mkutano wa 12 wa Bunge Mjini Dodoma, ikiwa ni baada ya kubadilishwa kwa baadhi ya vifungu na hivi sasa Rais Kikwete anasubiriwa kuusaini ili iwe sheria kamili. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Jaji Warioba alisema: "Mwisho wa kazi ya tume ni baada ya kukabidhi rasimu, hilo ni tatizo. Maana tume itakuwa imeshavunjwa, sasa itafanyaje kazi ya kutoa elimu kwenye kura ya maoni?"
Jaji Warioba pamoja na kukiri upungufu huo, alisema kurekebisha au kutokurekebisha kasoro hizo si jukumu la tume hiyo.
"Tunawaomba watafakari, waone jinsi gani tume ambayo imekwishavunjwa itakuja kutoa elimu wakati wa kura ya maoni, sheria ina 'contradiction' (ina mkanganyiko)," alisema.
Muswada huo ulipitishwa na wabunge wa CCM baada ya wale wa upinzani kutoka nje baada ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe kuamuriwa na Naibu Spika, Job Ndugai kutoka nje kutokana na kukaidi kwake amri ya kukaa chini alipokuwa akitaka kutoa hoja kabla ya mjadala wake kuanza.
Muswada huo unapingwa kwa kuwa Rais amepewa mamlaka ya kuteua wajumbe 166, ambao si wabunge wala wawakilishi na Zanzibar kutokushirikishwa kikamilifu kwenye maandalizi ya muswada huo.
Hata hivyo, Warioba alisema pamoja na kasoro hizo Tume hiyo inafanya kazi yake kwa kufuata sheria hiyo huku akisisitiza, "Wanaotunga sheria ni wengine siyo sisi, tulipoteuliwa tulikuta sheria na kuanza kazi kwa kuifuata. Imefanyiwa marekebisho sisi tunafuata."
Alisema waliofanya mabadiliko ya sheria hiyo wana haki ya kufanya hivyo na kwamba Tume ya Mabadiliko ya Katiba haiwezi kuzuia kutokufanyika kwa mabadiliko hayo, kwani yapo baadhi yanaihusu.
Alisema baada ya kuipata sheria hiyo: "Tulijiuliza maswali kwa sababu miswada huwa inapelekwa bungeni na Serikali ikiwemo ya Katiba. Anayeipeleka kama ni waziri ndiye anayetoa ufafanuzi pale inapohitajika."
Alisema kulingana na sheria, tume yake ndiyo inayotakiwa kutoa ufafanuzi katika Bunge la Katiba, kama ambavyo Waziri hutoa maelezo anapowasilisha muswada bungeni.
"Tulipouliza tulielezwa kwamba sisi ambao tumepewa jukumu la kupata maoni ya wananchi na kuandaa rasimu ndiyo tutaitwa pale tu patakapohitajika ufafanuzi wa jambo fulani," alisema.
Alisema kazi ya kuandaa Rasimu ya Katiba itafanyika na kukamilika katika muda uliopangwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
"Tulianza kazi Mei mwaka jana na tunatakiwa kumaliza Novemba mwaka huu, sheria inaruhusu kuongeza miezi miwili kama tutakuwa hatujakamilisha kazi. Katiba Mpya inatakiwa iwe imekamilika Aprili 26, 2014," alisema.

Chanzo:Mwananchi

JENGO LA WESTGATE LILIHARIBIKA SANA BAADA YA UVAMIZI WA MAGAIDI KENYA.


Kupomomoka kwa jengo la ghorofa tatu ndani ya Westgate Mall baada ya mlipuko uliosababisha vifo vya magaidi wa 5 na na wengine 11 kushikiliwa na Polisi siku ya Jumamtatu Sept 23, 2013 kama unavyoonekana katika picha magari yaliyokua yameegeshwa juu ya paa la magesho ya magari yakiwa yameanguka chini kwa mlipuko huo. Westgate

Conflicting reports: A minister said the terrorists had set mattresses on fire, causing the roof to collapse
Paa la maegesho ya magari likiwa limebomoka kutokana na mlipuko huo.
Assessing the damage: Kenyan government officials accompanied by armed security officers tour an outside upper level near a collapsed floor of the Westgate mall
Wananusalama wakijadili jambo baada ya jaribio hilo la Westgate Mall kuzimwa baada ya mlipuko uliosababisha jengo la ghorofa 3 kuporomoka baada ya magaidi wa Al Shabab kuvamia Mall hiyo siku ya Jumamosi Sept 21, 2013 na kusababisha vifo nya watu 69 na wengine 175 kujeruhiwa huku kikundi hicho cha Kigaidi kudai kwamba hawataishia hapo mpaka Kenya itakapoondoa majeshi yake Somalia.





Thursday, September 26, 2013

HII NDIO SPEECH YA RAISI WA KENYA(UHURU KENYATTA)KUHUSIANA NA TUKIO LA UGAIDI,ISOME HAPA.


 

I thank all of you for staying strong and for being there for each other's sake as the tragic ordeal at the Westgate Mall enters its second day. You continue to be heroic in many amazing and heartening ways. As a nation, we speak as one on this. You can see here former Prime Minister Raila Odinga and other national leaders ... in and outside Government.

We are a multi-ethnic, multi-cultural society. Our diversity is also our strength.

Sadly, the evil and cowardly act of terrorism has claimed 59 lives and injured more than 175 people. Let us all continue to keep all the affected people in our thoughts and prayers, even as we reach out with a helping hand. I want every bereaved family to know that I mourn very deeply with them. No one should lose their life so needlessly, so senselessly, and no family should have to receive news that their loved one has been killed by a criminal bunch of cowards.

As your president, as a leader and as a Kenyan, I feel the pain of every life we have lost, and share your grief at our nation's loss. My nephew and his fiancee are among those who died in this attack. These are young, lovely people I personally knew and loved. Many of us have lost loved ones. Let us mourn them all as one nation, and keep them always in remembrance and prayer.

To those who have suffered physical and psychological wounds I offer words of comfort and encouragement. Please know that my Government and multitudes of well-wishers are united in one resolve: to see you through this painful and confusing moment. Take heart that you are not alone as you bear your hurt; we are praying for your quick recovery.

Owing to the professional response of the various security agencies at the scene and the selflessness of countless Kenyans, more than 1,000 people were rescued from the Mall and attended to. We continue to rescue more. This is remarkable and encouraging. I am aware that many have expressed impatience over the pace at which the situation is unfolding. Whilst I empathise with your anxiety at seeing the matter concluded as quickly as possible, I ask for your understanding as well.

There are 10 to 15 armed terrorists inside the building as well as many unarmed, badly shaken, innocent civilians. We have reports of women as well as male attackers. We cannot confirm details on this. Our security analysts are looking at that. Our multi-agency response unit has had to delicately balance the pressure to contain the criminals with the need to keep our people still held in the building safe.

Obviously, the outcome has not been ideal, but I am satisfied that our disciplined forces have responded in as professional and effective manner as the circumstances have allowed. I also ask Kenyans to remember that these officers are putting their lives on the line for the greater good. Therefore, give them due consideration and prayer. The Inspector-General of the Police Service, David Kimaiyo, remains in charge of the situation. Teams from the Kenya Defence Forces have supplemented the intervention. The criminals are now all located in one place within the building. With the professionals on site, I assure Kenyans that we have as good a chance to successfully neutralise the terrorists as we can hope for. Let us allow them space and time to do their best.

I have received calls from world leaders offering their words of comfort and solidarity. I have also received numerous offers of assistance from friendly countries, which are under evaluation. For the time being, however, this remains an operation of the Kenya security agencies. I thank all our international friends who have reached out to us and stood with
us.

The Al-Shabaab terror group have claimed responsibility for this cowardly act of terror on social media. However, investigations are underway to conclusively establish those responsible for this mayhem, so that we can have full accountability. They shall not get away with their despicable, beastly acts. Like the cowardly perpetrators now cornered in the building, we will punish the masterminds swiftly and painfully.

I call on Kenyans to stand courageous and united. Let us not sacrifice our values and dignity to appease cowards. Our victory must be conclusive. Let us defeat them with our unity. By responding quickly and generously to distress calls, we have triumphed. By standing in long lines all over the city to give blood, donating money through our mobile devices, buying and distributing food, blankets and beverages to the affected, we have ashamed and defeated our attackers. Let us continue to wage a relentless moral war as our forces conduct the physical battle. We shall triumph. As I asked you yesterday, please continue helping, and continue praying.

Thank you. God Bless our Beloved country.

MASIKINI BABA WEMA APOOZA UPANDE MMOJA


Stori: Imelda Mtema
MasIkini! Baba mzazi wa Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia ni staa mkubwa wa filamu, Wema Sepetu, mzee Isaac Abraham Sepetu yupo kitandani akiwa amepooza upande mmoja wa mwili wake.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi (kulia), akimjulia hali mzee Isaac Abraham Sepetu.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, mwishoni mwa wiki iliyopita aliiwakilisha serikali kwenda kumjulia hali mzee huyo ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo visiwani Zanzibar na balozi katika nchi mbalimbali ambaye yupo nyumbani kwake Sinza-Mori, Dar.
Katika hali ya kusikitisha, mama mzazi wa Wema, Mariam Sepetu, aliliambia gazeti hili ambalo lilikuwa limeongozana na Nchimbi kuwa, mume wake alipatwa na ugonjwa huo akiwa kazini Zanzibar, ingawa kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na kisukari.
Alisema baada ya kupata taarifa za ugonjwa huo, familia ilipanda ndege kutoka Dar kuelekea Zanzibar ambako walimchukua na kumpeleka Hospitali ya TMJ ya jijini Dar, alikolazwa kwa muda wa wiki tatu kabla ya kuruhusiwa.
“Ingawa bado amepooza, lakini kwa sasa hali yake ni afadhali kuliko alivyokuwa mara ya kwanza,” alisema mama huyo aliyedai kuwa mumewe ni mgonjwa kwa mwezi mmoja sasa na kwa kipindi chote hicho, amekuwa akifanyiwa kila kitu.
WASIFU MFUPI WA MZEE SEPETU
Balozi Sepetu aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje mnamo miaka ya 1970 wakati wa utawala wa awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Julius Kambarag Nyerere.  Vilevile, aliwahi kuwa balozi nchini Urusi tangu mwaka 1982 wakati wa utawala huohuo wa Nyerere.
Pia, Machi 27, mwaka huu, Balozi Sepetu aliteuliwa na Rais wa Zanzibar, Dr Mohammed Shein,  kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitegauchumi ya Zanzibar (ZIPA)

Tuesday, September 24, 2013

TAZAMA KINACHO ENDELEA NCHINI KENYA SASA, RISASI ZARINDIMA NA MOSHI MKUBWA WAONEKANA NJE YA JENGO.



Dead: Ross Langdon, an architect with dual British-Australian nationality was killed alongside his girlfriend Elif Yavuz who was just two weeks away from giving birth
Dead: Ross Langdon, an architect with dual British-Australian nationality was killed alongside his girlfriend Elif Yavuz who was just two weeks away from giving birth


Militants inside Westgate Shopping Centre have threatened to kill the remaining hostages as Kenyan security personnel try to end the siege (pictured)
Militants inside Westgate Shopping Centre have threatened to kill the remaining hostages as Kenyan security personnel try to end the siege (pictured)
Kenya Security personnel take cover outside the Westgate Mall.

Kenya Security personnel take cover outside the Westgate Mall. Islamist terror group Al Shabaab claimed it carried out the atrocity in which three Britons were killed and 175 people were left injured
Kenyan military said last night that 'most' of the hostages have been freed but a spokesman admitted today that the situation is still not clear
Kenyan military said last night that 'most' of the hostages have been freed but a spokesman admitted today that the situation is still not clear
Militants inside the shopping centre said hostages would 'bear the brunt' of any action by the Kenyan military
Militants inside the shopping centre said hostages would 'bear the brunt' of any action by the Kenyan military
Terror link: Samantha Lewthwaite, 29, originally from Buckinghamshire, was described as a 'brave lady' by Islamist terror group Al Shabaab
Terror link: Samantha Lewthwaite, 29, originally from Buckinghamshire, was described as a 'brave lady' by Islamist terror group Al Shabaab


Terrified children wait by the body of a man after escaping from the shopping centre. Militants have today threatened to kill the remaining hostages

Terrified children wait by the body of a man after escaping from the shopping centre. Militants have today threatened to kill the remaining hostages
Fleeing: A child runs to safety across the shopping mall following the deadly attack in Nairobi, Kenya

Fleeing: A child runs to safety across the shopping mall following the deadly attack in Nairobi, Kenya. Three Britons have been killed in the attack
Terror: Armed police guide a woman carrying a child to safety at Westgate shopping centre in Nairobi

Terror: Armed police guide a woman carrying a child to safety at Westgate shopping centre in Nairobi
Daily Mail.

KUNDI LA WANAMGAMBO WA AL-SHABAAB LINA WANAJESHI ZAIDI 8,000 NA HII NI HISTORIA YAKE.


Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa al-ShababAl-Shabab, Ahmed Abdi Godane (katikati).

Al Shabaab wakifanya mashambulizi mjini Mogadishu.

KUNDI la wanamgambo wa Kisomali la al-Shabaab, limevamia jumba la kifahari lenye maduka mengi na mikahawa mjini Nairobi nchini Kenya na kufyatua risasi ovyo na kuua makumi ya raia wasio na hatia. 

Al Shabaab ambao makazi yake makuu nchini Somalia, limeweza kuondolewa kutoka miji mikubwa ya Somalia baada ya kuweka mizizi ikiwemo Mogadishu na sehemu zengine za Somalia , ingawa bado linasalia kuwa tisho kubwa kwa kanda nzima wa Afrika ya mashariki na kati. 

Al Shabaab ni nani ?. 
Jina Al-Shabab linamaanisha Kijana kwa lugha ya kiarabu. Kundi hilo liliibuka kama tawi la vijana la muungano wa mahakama za kiislmau ambao baadaye ulivunjika mwaka 2006, wakati ilipopigana na wanajeshi wa Ethiopia waliokuwa wameingia nchini Somalia kuunga mkono serikali iliyokuwa dhaifu.
Kuna taarifa chungu nzima kuhusu wapiganaji wa kiisilamu wanaokwenda Somalia kupigania Al Shabaab.

Kundi hilo limeweka sheria kali za kiisilamu katika maeneo ambayo linadhibiti ikiwemo kupigwa kwa mawe hadi kufa wanawake wanaodaiwa kufanya uasherati pamoja na kuwakata wezi mikono.

Je Al Shabaab linadhibiti sehemu gani ya Somalia ?.
Ingawa kundi hilo limepoteza udhibiti, wa miji mikubwa, bado linakita mizizi katika maeneo ya mashinani.

Lililazimika kuondoka katika mji mkuu Mogadishu, mwezi Agosti mwaka 2011 na pia kuondoka katika mji wa bandarini wa Kismayo mwezi Septemba mwaka 2012.

Kismayo ulikuwa mji muhimu kwa kundi hilo, ambao ulikuwa unawezesha bidhaa kuwafikia wapiganaji wa kundi hilo pamoja na kuwatoza watu ushuru kwa shughuli zao.

Hizi ni silaha za Al Shabaab walizonasa wanajeshi wa AU.

Muungano wa Afrika, ambao unaunga mkono juhudi za majeshi ya serikali, ulisherehekea ushindi huo ingawa al-Shabab hunfanya mashambulizi ya mara kwa mara ya kujitoa mhanga mjini Mogadishu na kwingineko.

Wadadisi wanaamini kuwa al-Shabab limeanza kufanya mashambulizi ya kuvizia baada ya kushindwa na majeshi ya Muungano wa Afrika wanaotumia nguvu dhidi yao.

Lakini linakabiliwa na tisho kubwa kutoka kwa wanajeshi wa Kenya walianza hatarakti zao dhidi ya kundi hilo kuanzia mwaka 2011.

Kenya ilituhumu wapiganaji wa al-Shabab kwa kuwateka nyara wanajeshi wake pamoja na watalii na sasa wamekuwa katika msitari wa mbele kupambana na kundi hilo la kigaidi.

Wakati huo, wanajeshi wa Ethiopia waliweza kukabiliana na wapiganaji hao na kudhibiti miji ya Beledweyne na Baidoa.

Nani kiongozi wa al-Shabab ?. 
Ahmed Abdi Godane ndiye kiongozi wa kundi hilo. Anajulikana kama Mukhtar Abu Zubair, na anatoka katika jimbo la Somaliland.

Kumekuwa na taarifa za mgawanyiko katika kundi hilo, ambazo hata hivyo zinapingwa vikali na kundi lenyewe. 

Inaarifiwa kuwa uongozi wake unapingwa, na wanachama wanaotoka maeneo ya Kusini na ambao ni wengi katika kundi hilo. Inakisiwa idadi yao ni kati ya wanajeshi 7,000 na 9,000.

Bwana Godane huwa haonekani hadharani, Mtangulizi wake Moalim Aden Hashi Ayro, aliuawa katika shambulizi lililofanywa na Marekani mwaka 2008.

Nini uhusiano wa kimataifa wa kundi hilo?Al-Shabab lilijiunga na al-Qaeda mwezi Februari mwaka 2012. Katika ujumbe wa Video, kiongozi wa al-Shabab Ahmed Abdi Godane alisema anaahidi kuunga mkono kingozi wa al-Qaeda Ayman al-Zawahiri.

Makundi hayo mawili yamekuwa yakifanya kazi kwa pamoja, na raia wa kigeni wamekuwa wakiunga mkono kundi hilo, na hata kuwasaidia katika harakati zao za mapigano.

Mwaka jana maafisa wa al-Shabab waliambatana na mtu aliyesema ni mwanachama wa al-Qaeda na kumtambua kuwa raia wa Marekani Abu Abdulla Almuhajir alipokuwa anatoa msaada wa chakula kwa waathiriwa wa njaa.

Maafisa nchini Marekani wanaamini kuwa wapiganaji wa Al Qaeeda ambao hawajahusina sana na mashambulizi nchini Afghanistan na Pakistan kufuatia mauaji ya kiongozi wao, Osama bin Laden, wapiganaji wake wengi wanakwenda kutafuta hifadhi nchini Somalia.