Tuesday, March 31, 2015

SIO SIRI TENA, HIZI NDIO SABABU ZA NDUGAI KUTOONEKANA BUNGENI



Naibu Spika, Job Ndugai, amesema madai yanayotolewa kuwa amezuiliwa kuendesha shughuli za Bunge ni mambo ya kawaida.
 
Tangu kumalizika kwa mkutano wa Bunge wa 16 na 17 ambao ulijadili kashfa ya uchotaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Bunge kutoka na maazimio nane, Ndugai hajawahi kuonekana bungeni kuongoza shughuli za Bunge.
 
Hakuhudhruia Mkutano wa 19 na wa 20 unaoendelea hivi sasa., hali iliyozua madai kutoka kwa baadhi ya wabunge na watu wengine  kuwa amezuiliwa kuendesha shughuli za Bunge kutokana na msimamo wake wa kuruhusu kujadiliwa kwa kashfa hiyo bungeni.
 
Baadhi ya watu ambao wamezungumza na NIPASHE kwa nyakati tofauti mjini Dodoma walisema kitendo cha Ndugai kutoa uhuru zaidi wakati wa mjadala wa sakata la Escrow inadaiwa hakikuwafurahisha wakubwa kwani ilipelekea serikali kutikisika.
 
Ndugai alipoulizwa na NIPASHE jana kwa njia ya simu kuhusiana na taarifa hizo, hakuwa tayari kulizungumzia suala hilo zaidi  ya kuomba asilizungumzie.
 
Hata hivyo, alisema kwa kifupi: “Naomba uwaambie waachane na hiyo issue (jambo), siwezi kuzungumza lolote, mbona ni la kawaida tu.”
Alipoulizwa kuwa kwa sasa yuko wapi, alisema kuwa alikuwa safarini bila kueleza alikokuwa akielekea.
 
Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani, alipoulizwa kama anafahamu aliko Ndugai, alisema hafahamu kwa kuwa wabunge hawajajulishwa na ofisi ya Bunge.
 
Kwa upande wake Mbunge wa Mhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), alisema kiutaratibu Spika wa Bunge, Anne Makinda alitakiwa kuwafahamisha aliko Ndugai lakini kwa bahati mbaya hajatujulisha.
 
Taarifa za awali kutoka kwa wafanyakazi wengine Bungeni walisema Ndugai ni mgonjwa.
 
Wafanyakazi hao walisema mara baada ya kikao cha Bunge cha mwezi Novemba mwaka jana Ndugai ambaye ni pia ni Mbunge wa Kongwa, alianza kujisikia vibaya kiafya na hivyo kwenda nchini India kwa matibabu.
 
Inadaiwa Ndugai ambaye amekaa huko kwa muda mrefu alirejea nchini mwanzo mwa wiki iliyopita na alipitia Dar es Salaam kwa ajili ya kupumzika.
 
Mwandishi wa NIPASHE alipofika ofisi ya Naibu Spika kuomba kuonana naye, Katibu Muhtasi ambaye jina lake halikufahamika, alisema Ndugai hayupo kwa muda mrefu na hawafahamu aliko.
 
Chanzo kingine kilieleza kuwa muda mfupi kabla ya Mkutano wa sasa wa Bunge kuanza, Ndugai alikuwa Dar es Salaam akijiandaa na safari ya kwenda nje kwa matibabu.
 
Hata hivyo, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashillilah, alisema Ndugai ataongoza vikao vya Bunge kuanzia leo.
 
Dk. Kashililah alisema Ndugai alikuwa  amesafiri kikazi nchini Ubelgiji ambako alihudhuria mkutano na alipitia India kufanyiwa uchunguzi wa afya yake, lakini amesharejea nchini.
 
Katika kipindi ambacho Ndugai hakuwapo, vikao vya Bunge vilikuwa vinaendeswa na Spika Makinda, wenyeviti wa Bunge, Mussa Zungu na Rediana Mng'ong'o.
 
“Leo Mheshimiwa Ndugai atakuwapo bungeni kwa sababu Spika amebaki pekee yake baada ya Mheshimiwa Zungu kwenda Dar es Salaam kwenye mafuriko na Mheshimiwa Mng’ong’o amekwenda  nje ya nchi kuhudhuria mkutano,” alisema.
 
CHANZO: NIPASHE

Sunday, March 15, 2015

Angalia jinsi Band ya YAMOTO ilivyo pagawisha ndani ya Dawest pub Tabata.

Yamotto wakishambulia Jukwaa!




Baadhi ya Mashabiki wakila maraha!



 Wadau nao walikuwepo kuweza vijana wao wasonge!


Saturday, March 14, 2015

MASANJA NI MSANII NO2 TAJIRI TANZANIA...Jionee utajiri wake hapa.


UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wACanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.

HABARI MEZANI
Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo na kugundua kuwa ni kati ya mastaa mabilionea Bongo.
“Masanja sio yule tena. Ana mpunga (fedha) mrefu sana. Hakuna msanii wa maigizo Bongo anayeweza kumfikia kwa sasa. Hao wengine ni mbwembwe tu, lakini pesa imelala kwa Masanja,” kilipasha chanzo chetu.

Kikaongeza: “Kwanza ana ghorofa lipo Tabata, hapo ndipo anapoishi. Pia ana magari kibao ya kifahari, mashamba ya mpunga na Kampuni ya OK Security inayolinda sehemu mbalimbali zikiwemo taasisi nyeti nchini.


“Ni msanii gani mwenye kampuni kubwa kama ya Masanja? Wengi wanaishia kudai wanatayarisha filamu ambazo hata matunda yake hayaonekani.”

RISASI MZIGONI
Mdogomdogo, Risasi Mchanganyiko likajitupa mtaani kuchimba kuhusu madai hayo ambayo awali liliyatilia shaka kama si wasiwasi.
Uchunguzi wetu ulibaini ukweli wa mali za msanii huyo na mambo mengine mengi yanayoingia kama vyanzo vya mapato yake.

MAGARI SITA
Ilibainika kuwa, Masanja anamiliki magari sita, yakiwemo ya kifahari. Baadhi ya magari hayo ni Toyota Land Cruiser V8, Nissan Hardboad na Toyota Verossa.
http://1.bp.blogspot.com/-qf3f5-BRw6s/VCknFidh56I/AAAAAAAAp1M/BjfmWcNuL4o/s640/mkandamizaji.jpg

NYUMBA TATU BONGO
Pia, mkali huyo wa kuvunja mbavu, anamiliki nyumba tatu za maana jijini Dar es Salaam, moja ni ghorofa ipo Tabata, nyingine Kigamboni na nyingine haifahamiki eneo rasmi ilipo.
Hata hivyo, imebainika kuwa mbali na mijengo yake hiyo iliyopo jijini Dar, nyumbani kwao Mbarali, Mbeya ana mjengo wa maana.
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/957235f6cfb811e2855722000aa800e1_7.jpg

MASHAMBA KIBAO
Msanii huyo hayupo nyuma kwenye kilimo, ana mashamba kadhaa Kigamboni jijini Dar es Salaam lakini linalotia fora ni lile lililopo Mbarali lenye ukubwa wa hekari 50 ambalo analima mpunga.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdckZ_8yFN1CPnUaZ6gSJENN8shdmfaNElNg-gV_fJAWGI39vc2q6v8qdYJE4bKPq_OzTMggxu3b0SL1L9xPfssiIZFiHldckPA0S8DLMyo49GiBtj7olaEWeKZPkWa7o2YzW2LepP1RY/s640/mbarali.jpg
NI MSANII WAMAIGIZO TAJIRI ZAIDI?
Kwa utajiri huo, ipo minong’ono kuwa, nyota huyo anaweza kuwa kwenye namba za juu za wasanii wa maigizo wenye mkwanja mrefu.
Wengine wanaotajwa kwenye orodha ya waigizaji matajiri Bongo ni Husna Posh ‘Dotnata’, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ na Amri Athumani ‘Mzee Majuto’.

]MATAJIRI BONGO FLEVA
Katika muziki wa Bongo Fleva, wasanii wanaoaminika wana utajiri mkubwa zaidi ni Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Joseph Haule ‘Profesa Jay’.
Wasanii hao wanamiliki mijengo ya maana, achilia mbali magari ya kifahari na miradi kadhaa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXAs9RfMU3PhOqaj0oiLGfGAGKvZ4Q1jfl1M2ukz3yeoCxWohIaT700L4jiJz_ovQwlfjZqaCBPAr9Ii3i8a93m82ppoGOdPjtel81tjWaIjkxo0Jo33h5jkix3pUt9lT9Nf8I95djA5fL/s1600/10.jpg
MASWALI KUHUSU MASANJA
Utajiri wa Masanja umeonekana kuibuka ghafla huku vyanzo vyake vya kumwingizia kipato vikijulikana ni sanaa ya uigizaji, muziki na huduma ya uchungaji.

Je, kwa uigizaji tu katika Kundi la Orijino Komedi ‘OK’ ndiko alikopata mkwanja huo na kuanzisha miradi hiyo mikubwa?

Kama ndiyo, kwa nini memba wenzake ndani ya kundi hilo hawana maendeleo makubwa kama yeye?
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNrrU9xpX5veoE3YwF6-lmPBBugMr7vbxyfKzy7nfdCvjO5zF_tJl1eQYtvqy2Zu7scIAhCCBSBJh0fnIMPxY0jvwatUPHqK9__I_u7mMaePDxEy7h0hsEMilfan_VKCEbkJo9_k_QcxT1/s1600/IMG_1621.jpg
Kazi nyingine ya Masanja ni muziki wa Injili ambapo kwa sasa albamu yake ya Hakuna Jipya iko sokoni. Je, albamu hiyo na shoo anazofanya zinaweza kuwa chanzo cha utajiri huo?

Lakini pia Masanja ni mchungaji ambaye anahudumu katika Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) ‘Mito ya Baraka’ lilicho chini ya Askofu Bruno Mwakiborwa. Je, mshahara anaoupata kutokana na huduma hiyo unaweza kuwa chanzo cha mapato yake?

Risasi Mchanganyiko halikutaka kupasua kichwa, juzi lilimsaka Masanja kwa simu na kumhoji juu ya mali zake ambapo kwanza alithibitisha kweli anamiliki mali hizo na nyingine ambazo hakupenda kuzitaja.

“Ni kweli nina nyumba tatu hapa mjini, kampuni ya ulinzi na mashamba ya mpunga eka 50 nyumbani Mbarali, Mbeya. Kuhusu magari pia ni kweli kabisa. Mimi ni mtumishi sitakiwi kusema uongo,” alisema Masanja.

RISASI: Lakini mbona utajiri wako umekuwa wa haraka sana mtumishi, vipi vyanzo vya mapato yako?

MASANJA: Orijino Komedi ndiyo chanzo cha vyote... pale ndipo kwenye koki.

RISASI: Kuchekesha tu kaka? Au kwenye muziki wa Injili pia kunalipa?

MASANJA: Injili na uchungaji ninaotumika kanisani ni huduma kaka, sitegemei mapato kutoka huko. Nipo kwa ajili ya kulisha kondoo wa Bwana.

RISASI: Wasanii wenzako wa Orijino Komedi wanachukuaje mafanikio yako?

MASANJA: Wanafurahia, wananiunga mkono maana ni sehemu ya mafanikio yao pia. Sisi tunaishi kama ndugu. Kwa hiyo kuna baadhi ya aidia ni zao, hivyo wanajivunia sana mafanikio yangu.

JAMBO KWA JAMBO HILI NALO NENO!

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6Pmod7yY_hJIsFtwTWT-d4Op3Q9hyphenhyphenv-K3ysOu43eGOdzyga7iazBUGNgcG8LRd4vg9kVk5X9AP0gXm4SAGojymE5H6OTwadclqnRwhzzT3G9dW2n_0OQaMKJ6dOtw20m5rNenY7B5mwEo/s1600/IMG_0758.JPG

Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana amemsifu mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa kwa kutekeleza kwa ukamilifu Ilani ya Chama hicho wilayani Monduli na kwamba anastaafu ubunge wake heshima kubwa.
"Napenda kumpongeza mbunge wa Monduli na waziri mkuu mstaafu ndugu yangu Edward Lowassa kwa Kazi kubwa ya maendeleo aliyoifanya katika jimbo hili..maendeleo yote hapa hayakosi mkono wa Lowassa" alisema Kinana wakati yeye na msafara wake alipopokewa katika kata ya Makuyuni wilaya Monduli mwanzoni mwa ziara yake ya siku tisa Mkoani Arusha.
"Ndugu Lowassa ameamua kustaafu ubunge,anaondoka kwa heshima kubwa..tunakushukuru sana ndugu Lowassa"
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuA2XU7Uwck3Zy3RgNZCwcIJEZCkCfNAYLNkhAq8gdTb1pzKCoqri3tVt-f-VhiNG4JulycXD6p0hrlDw5v4w61UYS5-nGaace2h9TyYbcwW1LCYW2jqp9BsZ5-4vZHIab7fXfuwuGlhT-/s1600/IMG_0751.JPG









Friday, March 13, 2015

Thinking is Magic yaani huwezi amini nikikwambia mpaka uone sasa Tazama hapa!


1. Kutengeneza Kibanda Cha Mapumziko Kama Hiki
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/643870_217399331734443_128170240_n.jpg



 Kutengeneza Vizibo Vya Kufungia Bidhaa Kama Vyakulahttp://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/563_174316926042684_698741285_n.jpg




http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/563_174316926042684_698741285_n.jpg

 Kupandia Maua
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/545258_318727081601667_364690196_n.jpghttp://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/545258_318727081601667_364690196_n.jpg

Kutengenezea Mtubwi
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/601433_298595183614857_1574927957_n.jpg

Kutengeneza Vikapu
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/969015_260289740778735_212271372_n.jpg

Kupandia Maua Kama Hivi
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/995201_323409001133475_1394864622_n.jpg



 Kutengeneza Dust bin
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1461121_337733636367678_403024055_n.jpg




Kuezekeahttp://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1512736_354790577995317_1278072367_n.jpg

Kutengeneza Kijiko Cha Kuchotea Sukari Chumvi au Majani ya Chai
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1546147_359662304174811_2062579094_n.jpg



http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1555297_424356631038711_7739375579235136359_n.jpghttp://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1621748_373359786138396_1707674750_n.jpghttp://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1795651_392385124235862_1949456466_n.jpg


http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1800390_382642671876774_1470026654_n.jpg


http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/1947545_383735445100830_374936352_n.jpg


 Bustani ya Spinach
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/10013930_383782285096146_103477281_n.jpg


http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/10169307_397875540353487_1171373282508601031_n.jpg



Kumwagilia
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/10254049_401217790019262_2584676018459123919_n.jpg



Green House Ndogo
http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/10322831_428896560584718_4387160219929658503_n.jpg




http://www.butterbin.com/wp-content/uploads/2014/06/10325578_413285058812535_6951731921415068531_n.jpg

Kuezekea Sehemu Ya Kupaki Gari

Professor Jay Nyota yake ni Hatariii anakubalika ile mbayaa! Angalia Wananchi Wa Mikumi Wanavyomkubali, Ona Anavyopambana


"Nikisindikizwa na Nyimbo Za ukombozi na mama zangu wa kijiji cha MUNISAGALA!!"-Professor Jay




 Safari ya kuelekea MUNISAGALA ni lazima muache magari na kupanda pikipiki au baiskeli na kuifuata RELI mpaka mnafika.... jitihada za makusudi sana zinatakiwa kuikabili changamoto hii ya MIUNDO MBINU! !




Harakati zimeendelea kijiji cha MUNISAGALA kilichopo kwenye Kata ya MASANZE!!








Bila kujali utofauti wa itikadi kisiasa, jinsia, upinzani katika soka nk, Professor Jay anawependa wote






Wednesday, March 11, 2015

Diamond Platinumz kwisha habari yake sasa, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wapiga hodi kwake.





Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya Diamond ndani ya siku saba (7).
Inaelekea kuna jambo haliko sawa!


CHANZO BONGO CLAN.COM