Lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana.
Watu wapatao 50 wanahofiwa kufa papo hapo baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na kontena.
Baadhi ya mashuhuda wanadai ni ubovu wa Bara bara katka eneo hilo!
Kamanda wa police wa Iringa amepigiwa simu kuhusu tukio hilo kasema ndiyo ana taarifa ila hawezi kusema ni watu wangapi wamepoteza maisha au majeruhi kwani bado hajafika eneo la tukio .. hivy kaeeni mkao wa kusubiri update zitakazo endelea kutokea au kukufikia ktk page yako hii!
So sad Jamani.
ReplyDelete