Tuesday, March 10, 2015

HATIMA YA ZITTO IJULIKANE HARAKA ILI KUPISHA HARAKATI:

Zitto Zuberi Kabwe, yule kijana machachari wa enzi hizo, lakini siku hizi akijawa kiburi na jeuri iliyosababisha kupoteza umaarufu, Leo hii amepoteza mvuto kwa mashabiki wengi japo si wote,
Kwahapa alipofikia, ni vema suala lake likafanyiwa maamuzi ikiwezekana ndani ya SAA 72 yaani siku tatu kamili, ili kama itakuwa sahihi, aujue mstakabali wake japo maamuzi mengine anayo yeye, kwakuwa inafahamika ndiye mwanzilishi wa ACT kwa mgongo wa nyuma, kupitia masalia wenzake, lakini ni ukweli usio na uongo kuwa Zitto ndiye Mwenyekiti ajaye wa ACT.
Jamaa ni vema akikipisha chama, kwanza ana makosa mengi, tukiacha la usaliti ambalo Halima ushahidi lakini hili la yeye kukipeleka chama mahakamani, hastahili kuendelea na umiliki wa kadi chqmani, anatakiwa kupisha ili akaendeleze Chama chake,
Nikiri kuwa vijana wengi tulishawishika kuingia na kupenda siasa kutokana na makeke ya Zitto. Lakini pia ndiye huyu aliyerudisha molari ya vijana kuanza kuichukia siasa, Athari ya kukaa na Zitto Cdm huku akiwa haaminiki, ni kufifisha harakati, ni bora ikajulikana, kama ni kumsamehe asamehewe, kama ni kuondoka aondoke
Lakini kwajinsi ninavyowafahamu Cdm, naamini ndani ya SAA 72 zijazo hatima ya Kabwe itajulikana, yeah liishe hili, ili tusonge mbele.
'HATIMA YA ZITTO IJULIKANE HARAKA ILI KUPISHA HARAKATI:

By Renard W. Kazoba

Zitto Zuberi Kabwe, yule kijana machachari wa enzi hizo, lakini siku hizi akijawa kiburi na jeuri iliyosababisha kupoteza umaarufu, Leo hii amepoteza mvuto kwa mashabiki wengi japo si wote,

Kwahapa alipofikia, ni vema suala lake likafanyiwa maamuzi ikiwezekana ndani ya SAA 72 yaani siku tatu kamili, ili kama itakuwa sahihi, aujue mstakabali wake japo maamuzi mengine anayo yeye, kwakuwa inafahamika ndiye mwanzilishi wa ACT kwa mgongo wa nyuma, kupitia masalia wenzake, lakini ni ukweli usio na uongo kuwa Zitto ndiye Mwenyekiti ajaye wa ACT.

Jamaa ni vema akikipisha chama, kwanza ana makosa mengi, tukiacha la usaliti ambalo Halima ushahidi lakini hili la yeye kukipeleka chama mahakamani, hastahili kuendelea na umiliki wa kadi chqmani, anatakiwa kupisha ili akaendeleze Chama chake, 

Nikiri kuwa vijana wengi tulishawishika kuingia na kupenda siasa kutokana na makeke ya Zitto. Lakini pia ndiye huyu aliyerudisha molari ya vijana kuanza kuichukia siasa, Athari ya kukaa na Zitto Cdm huku akiwa haaminiki, ni kufifisha harakati, ni bora ikajulikana, kama ni kumsamehe asamehewe, kama ni kuondoka aondoke

Lakini kwajinsi ninavyowafahamu Cdm, naamini ndani ya SAA 72 zijazo hatima ya Kabwe itajulikana, yeah liishe hili, ili tusonge mbele.'
By Renard W. Kazoba FB

No comments:

Post a Comment