Naibu
Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Kimataifa wa Sweden Mhe. Ulrika
Modeer (kulia), akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya Tanzania na
Sweden, kutiliana saini mkataba wa ushirikiano wa kimaendeleo wa miaka
minne kuanzia 2016 hadi 2019, tukio lililofanyika katika Ofisi za Hazina
Mjini Dodoma leo Juni 16, 2016
Katibu
Mkuu Wizara ra Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile (kushoto), na
mgeni wake, Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Kimataifa wa
Sweden Mhe. Ulrika Modeer (kulia), wakipeana mikono na kubadilishana
hati za mkataba baada ya kutiliana saini mkataba wa ushirikiano wa
maendeleo wa miaka minne kuanzia mwaka 2016 hadi 2019, tukio
lililofanyika katika Ofisi za Hazina Mjini Dodoma leo, Juni 16, 2016
Baadhi ya
Maofisa wa serikali ya Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Tasaf Ladislaus
Mwamanga (kushoto) wakifuatilia kwa makini tukio la kutiliana saini
mkataba wa ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Sweden, utakao
chukua miaka minne kuanzia 2016 hadi 2019, tukio lililofanyika katika
Ofisi za Hazina Mjini Dodoma leo, Juni 16, 2016
Ujumbe wa
Sweden ukiongozwa na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa
Kimataifa wa Sweden Mhe. Ulrika Modeer (Katikati), wakifuatilia kwa
makini tukio la kutiliana saini mkataba wa ushirikiano wa kimaendeleo
kati ya Tanzania na Sweden, utakao chukua miaka mine kuanzia 2016 hadi
2019, tukio lililofanyika katika Ofisi za Hazina Mjini Dodoma leo, Juni
16, 2016
Baadhi ya
Maofisa wa serikali ya Tanzania wakifuatilia kwa makini tukio la
kutiliana saini mkataba wa ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania
na Sweden, utakao chukua miaka minne kuanzia 2016 hadi 2019, tukio
lililofanyika katika Ofisi za Hazina Mjini Dodoma leo, Juni 16, 2016 (P.T)
No comments:
Post a Comment