Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Joel Laurent (katikati),
akizungumza wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini ya makubaliano ya
ujenzi wa nyumba 40 za walimu wa Shule za Sekondari zitakazojengwa na
Watumishi Housing Company katika mikoa 23 ya Tanzania Bara, ambapo
familia 240 za walimu zitanufaika na ujenzi wa nyumba hizo. Kushoto ni
Mkurugeni Mtendaji wa Watumishi Housing Company (WHC), Dk. Fred Msemwa
na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa TEA, Julius
Rugemalila. (Picha na Francis Dande)
Mkurugeni
Mtendaji wa Watumishi Housing Company (WHC), Dk. Fred Msemwa (katikati)
akizungumza wakati wa kutiliana saini ya makubaliano ya ujenzi wa
nyumba 40 za walimu wa Shule za Sekondari.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Joel Laurent (kulia) na
Mkurugeni Mtendaji wa Watumishi Housing Company (WHC), Dk. Fred Msemwa
(katikati), wakisaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 40 za walimu wa Shule
za Sekondari zitakazojengwa katika mikoa 23 ya Tanzania Bara, ambapo
familia 240 za walimu zitanufaika na ujenzi wa nyumba hizo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Joel Laurent (kulia),
akibadilishana hati na Mkurugeni Mtendaji wa Watumishi Housing Company
(WHC), Dk. Fred Msemwa baada ya kusaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 40
za walimu wa Shule za Sekondari zitakazojengwa katika mikoa 23 ya
Tanzania Bara, ambapo familia 240 za walimu zitanufaika na ujenzi wa
nyumba hizo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Joel Laurent (kulia) na
Mkurugeni Mtendaji wa Watumishi Housing Company (WHC), Dk. Fred Msemwa
wakipongezana.
Picha ya pamoja.
Mkurugeni Mtendaji wa Watumishi Housing Company (WHC), Dk. Fred Msemwa akisaini kitabu cha wageni.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Joel Laurent (katikati) na
Mkurugeni Mtendaji wa Watumishi Housing Company (WHC), Dk. Fred Msemwa
(kulia), wakizungumza mara baada ya kutiliana saini ya makubaliano ya
ujenzi wa nyumba 40 za walimu wa Shule za Sekondari.
No comments:
Post a Comment