RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA KIWANDA CHA EAST COASTS OILS AND FATS KAMPUNI TANZU YA METL IKIWA NI KAMPENI YA KUHAMASISHA LISHE BORA NCHINI.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni
ya MeTL Mh. Mohammed Dewji (Mb) wakati wakisubiri kuwasili kwa Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Kampuni ya East Coasts Oils and
Fats Kampuni Tanzu ya MeTL kuhamasisha Lishe Bora kwa walaji kwa
kuongezaji Virutubishi vya Vitamini A katika Vyakula vinavyozalishwa
viwandani yakiwemo mafuta ya kupikia. (Picha na Zainul Mzige wa Mo
Blog).
Picha
juu na chini Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wafanyakazi wa Kiwanda
ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL wakisubiri kumpokea
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea kiwanda hicho ikiwa ni
kampeni ya kuhamasisha Lishe Bora kwa walaji kwa kuongezaji Virutubishi
vya Vitamini A katika Vyakula vinavyozalishwa viwandani yakiwemo mafuta
ya kupikia.
Wafanyakazi
wa Kiwanda ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL
wakisubiri mkumpokea Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea
kiwanda hicho ikiwa ni kampeni ya kuhamasisha Lishe Bora kwa walaji kwa
kuongezaji Virutubishi vya Vitamini A katika Vyakula vinavyozalishwa
viwandani yakiwemo mafuta ya kupikia.
Picha
juu na chini ni Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya MeTL Mh. Mohammed Dewji
(Mb), akimlaki Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili
Katika Kiwanda cha East Coasts Oils and Fats ambacho ni Kampuni Tanzu ya
MeTL. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq.
Afisa
Mwajiri wa kampuni ya East Coasts Oils and Fats ambayo ni Kampuni tanzu
ya MeTL Bw. Eric Buberwa akisalimana na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
mara baada ya kuwasili katika kampuni hiyo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kusalimiana na wadau mbalimbali wa masuala ya Lishe.
Mkurugenzi
Mkuu wa Makampuni ya MeTL Mh. Mohammed Dewji (Mb), akiteta jambo na
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wakielekea sehemu ya kiwanda cha
East Coasts Oils and Fats. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said
Meck Sadiq.
Afisa
Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya
MeTL Bw. Vijay Raghavan akifafanua jambo kwa Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete kabla ya kukumimina Virutubishi vya Vitamini A katika Kinu cha
kuzalisha mafuta kiwandani hapo ikiwa ni ishara ya kuhamasisha Lishe
bora kwa walaji.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimimina mafuta ya virutubishi katika kinu
cha kutengeneza mafuta ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kampeni ya
kuhamaisha Lishe bora kwa walaji kwa kuongezaji Virutubishi vya Vitamini
A katika Vyakula vinavyozalishwa viwandani, wakati alipotembelea
Kiwanda cha EAST COAST OILS & FATS ambacho ni kampuni tanzu ya MeTL
kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam. Wanaoshihudia tukio hilo ni
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq (kushoto), Afisa Mkuu
Mtendaji wa Kampuni ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL
Bw. Vijay Raghavan ( wa pili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya
MeTL Mh. Mohammed Dewji (Mb) (wa tatu kushoto) pamoja na wadau wengine
wa masuala ya Lishe.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi wa Kampuni ya East
Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL mara baada ya kumaliza zoezi
la kutembelea kampuni hiyo inayozalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo mafuta
ambapo amempongeza Mh. Mohammed Dewji kwa kutengeneza ajira kubwa kwa
Watanzania kupitia kiwanda chake.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa kwenye
picha ya pamoja na Uongozi wa Kampuni ya MeTL pamoja na wadau wa masuala
ya lishe alipotembelea Kiwanda cha East Coasts Oils and Fats Kampuni
Tanzu ya MeTL katika Kampeni ya Uongezaji wa Virutubishi vya Vitamini A
katika Vyakula vinavyozalishwa viwandani.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam Said Meck Sadiq, Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya MeTL Mh.
Mohammed Dewji (Mb), Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema kwenye picha
ya pamoja na wadau wengine wa masuala ya Lishe.
No comments:
Post a Comment