- WAJIFANYA USALAM WA TAIFA,POLISI,UHAMIAJI
- WADAIWA KUTOA VIZA KWA WAGENI SH.20,000
Mmoja wa matapeli ambaye hutumika kama dereva teksi isiyo rasmi
Na
Waandishi Wetu
HALI si shwari ndani ya kituo cha Mabasi
yaendayo mikoani Ubungo (UBT), Dar es
Salaam, kutokana na utapeli mkubwa unaowafanywa na
watu wanaojifanya waajiriwa wa Idara ya Usalama wa Taifa, Jeshi la Polisi na
Uhamiaji.Utapeli huo
unafanywa kwa abiria wanaoingia jijini humo, wakitokea mikoa ya mbali kama
Kigoma, Bukoba na nchi jirani za Kenya,
Uganda, Bunjumbura na Malawi
.Hali hiyo
inadhihirisha wazi kuwa kasi ya watu wanaotumia majina ya taasisi hiyo kufanya
utapeli, imekuwa ikiongezeka katika maeneo tofauti ya jiji hilo.Majira
baada ya kupata taarifa za utapeli huo wiki mbili
zilizopita, lilituma kikosi kazi cha waandishi walioshinda katika stendi hiyo
ili kubaini mbinu chafu ambazo zimekuwa zikifanywa na watu hao kujipatia pesa.
Katika
uchunguzi huo, imebainika mbali ya watu hao kufanya kazi ya ukaguzi wa mabegi
ya abiria ili kufanya utapeli, pia wamekuwa wakijifanya mawakala wa baadhi ya
mabasi yanayokwenda masafa marefu kwa kuuza tiketi feki.Jambo la
kushangaza, baadhi ya wafanyakazi wa mabasi hayo, wamekuwa wakishirikiana na
matapeli husika kwa kupeana ishara pale mabasi hayo yanapofika kituoni ili
kuwafahamisha abiria waliobeba mizigo mikubwa.
Chanzo chetu
cha habari katika stendi hiyo, kilidai matapeli hao wana mtandao mkubwa (ambao
ulishuhudiwa na waandishi wetu), ambao baadhi yao, hutoa viza za kusafiria kwa sh. 20,000
ambazo abiria akifika nazo mpakani, hukaguliwa na kuonekana za halali."Biashara
hii hufanyika kila siku kwa usiri mkubwa lakini wapo baadhi ya askari polisi
hapa Ubungo, wanashirikiana na hawa matapeli kufanikisha uhalifu wao,"
kilisema chanzo hicho.
Alisema abiria wenye mizigo kutoka mikoani na nje ya nchi, wamegeuzwa
mradi wa matapeli hao. Kikosi kazi cha Majira kiliwashuhudia baadhi ya
matapeli hao wakiwa wamevaa vizuri hivyo kuonekana watanashati kumbe wahalifu.
Mazingira ya Utapeli
Baada ya mabasi hayo kuingia stendi,
matapeli hao hulisogelea basi husika wengine wakijifanya Maofisa Usalama,
Polisi na Uhamiaji ambao huingia ndani ya mabasi hayo na kufanya ukaguzi kabla
abiria hawajashuka.Waandishi wetu walishuhudia dada mmoja
aliyeshuka katika basi la Kampuni ya Advernture akiwa na mizigo kutoka Kigoma,
akitapeliwa na watu hao kwa kulazimishwa kuingia kwenye teksi bubu (namba
tunazo) na kuondoka naye.
Uchunguzi umebaini kuwa, matapeli hao
wanatumia magari maalumu ambayo hupaki ndani ya stendi hiyo na kufika eneo hilo kuanzia saa moja
asubuhi na mabasi hayo yanapoingia, hupeana ishara mbalimbali.Kikosi kazi kilichokuwa kikiwafuatilia
matapeli hao, kilibaini mtandao huo pia unahusisha wanawake ambao nao hujifanya
maofisa wa taasisi hizo (Usalama, Polisi na Uhamiaji).
Juzi baada ya matapeli hao kubaini kuna
watu wanaowafuatilia, walilazimika kupotea kwa muda na kurudi jioni wakiwa
makini kuwatafuta waandishi wetu ambao baada ya kubaini hali hiyo, waliondoka
eneo hilo bila
kushtukiwa.Hitimisho la uchunguzi huo kwa siku ya
jana, kikosi kazi cha Majira kiliwashuhudia zaidi ya matapeli 10 wakiwa
wamejigawa katika makundi matatu, wakiitana kwa majina na kugawana fedha
walizofanikiwa kumwibia abiria.
Mtandao huo unafanywa na watu ambao
umri wao ni mkubwa, ambapo waandishi wetu walishuhudia mzungu mmoja raia kutoka
nchini Canada,
Bi. Hayley Wade, akimwaga chozi baada ya kutapeliwa sh. 150,000 wakati akitaka
tiketi ya kwenda Uganda.Kikosi kazi kilizungumza na Bi. Wade
muda mfupi baada ya kutapeliwa na kusema baada ya kufika kituoni hapo,
alipokelewa na watu waliojifanya wafanyakazi wa Kampuni ya Falcon na kumkatia
tiketi kutoka Dar es Salaam hadi Kampala.
Alisema baada ya kupewa tiketi,
walimwambia asubiri basi lakini alijikuta akikaa muda mrefu kituoni hapo bila
kuliona basi hilo
hivyo alitaka kurudishiwa fedha zake.Waandishi wetu waliishuhudia tiketi
hiyo ambayo ilikuwa haijaaandikwa kiasi cha pesa alizolipa kwa safari hiyo na
kubaini mzungu huyo tayari ametapeliwa mchana kweupe.
"Ni l i p o o n a n a c h e l ewa
, niliomba nirudishiwe fedha zangu, niliambiwa mtu niliyempa pesa hayupo hivyo
ni vigumu kurudishiwa fedha zangu," alisema Bi. Wade.Wakati waandishi wakizungumza na Bi.
Wade, alitokea mfanyakazi mmoja wa kampuni hiyo, kumtaka aoneshe tiketi na
kumwambia asubiri baada ya saa moja lakini mzungu huyo alisema hawezi kusubiri
kwani muda unaenda na yeye hajui hatima yake hivyo alitaka kwenda Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, akakate tiketi ya ndege.
"Ninachotaka ni pesa zangu niende
Uwanja wa Ndege...sitaki tena kusafiri na basi, naona muda umeenda na safari
hakuna," alisema Bi. Wade mbele ya waandishi akimwambia mfanyakazi wa
kampunih iyo.Baada yamuda, alitokea mtumwingi ne a
liyedai na yenimfa nyakaziwakampunihiy o, kumc hukuaBi. Wade nakwendanayepemben
i ambapoa lim rudishia sh.90, 000ambayo haikujul ikana ilito kawap i
ndipomzunguhuyoakapandateksi nak uondok a.Wakati Bi. Wad eakiwakwenye teksi,alis ikikaakisemaakiru di nyumb
anikwao , atazungu mzanavyombovyahaba rinchin ihumo ili kuwe ka w aziut apeliu
liopoTanzania
Mkuu wa Kituo
Ma jiralilimt
afutaMkuuwaKituocha PolisiUbung o, amb aye alid ai k utokuwanata arif
azozotejuuyamatapel i ha onak uahidi kulifuatilia suala hilo kuanzia jana.
RPC Kinondoni
KamandawaPolisi MkoawaKinondoni, Cam iliusWambu ra, alipo ulizwakuhusian anautapeli
huoalikiri kuwepok wa tatizohilonatayaribaadhi ya matapeli wam eka matwa .
"Kunamatapeli wanaoj iita
Maofisa Usalama, PolisinaUhamiaji, t umejipan gailikukomeshavit endohi vi,
tumewaka matasita nabadotutaendeleakuwa sakawen gine," alisemaKamandaWamb
ura.Alion geza kuwa , hivisasakuna
mat apeliwengi ambao habari zaozimer ipotiwakatikav yombovyahabarinakuto a
witokwaabir ia, was iku balikupeku liwa hovyoba dalayakew aon eshwekielele
zokama kwel imtuhusika ni askari ambapo eneo hilo pia kuna Kituo cha Polisi hivyo ukaguzi
ukafanyike huko.
TABOA wazungumza
K waupa nde wake,Ka tibuMkuuwaCha
machaW amil ikiwa M abasi yaen dayo Miko ani(TA BOA), Bw.EneaMrutualis
emakituonihapokuna matap elisug una waowalis hatoataarifaras mikw ab arua wal
iyompaaliyeku waKamandawaPolisi Mkoawa Kipolisi Kinondo ni, Cha r lesKeny
elalakini hakunahatuazo zoteam bazozilichukuliwa.
"Hivi karibuni tumeandika
barua nyinginekwendakw aKamandaWambura kumwele zaha li hii lakini hatuja
rudishi wam ajibu. ..hapastendi Ubungokun amambomengi yanafany ika."Watuwanajifanya Maofisa wa Po lisi nah atawakikamatwa, baada yadakik a10
wameachiwahivyotunaom bapo lisiwote walio kokatikakitu ohiki kwazaidiya
miaka10wahamish wenaku wekwa wapya ili kudhibitihali hii ,"alisemaBw.
Mrutu.
Alisemahadi sasa hakuna derevayeyo teal iyek amatwanakuchuku liwa hatua kwa kushirikiana na mtandao wa matapeli,piakunama basi me ngi yanayos afi risha
abiria bila leseni na baadhi ya kampuni hazina uanachama wa TABOA hivyo inakuwa
ngumu kuyadhibiti mabasi yote.
CHANZO http://majira-hall.blogspot.com/2013/08/mtihani-kwa-polisimatapeli-stendi-ya.html