KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA
RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA
ULINZI WA POLISI KAMA SMS MBALIMBALI KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI
ZINAVYOSAMBAZWA.PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU TANZANIA LEO BAADA YA
SWALA YA ALASIRI KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI ILITARAJIWA KUTOA
TAMKO KUHUSIANA NA TUKIO HILO.
SHEKHE ISSA PONDA AKIUGUZWA MUHIMBILI
SEHEMU ALIYOJERUHIWA SHEKHE ISSA PONDA
No comments:
Post a Comment