Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni kada
wa CHADEMA amelimwa shoka la mgongoni na watu wanaodaiwa kuwa
ni walinzi wa CCM wakati wa harakati za kampeni za uchaguzi
wa udiwani huko Arusha..
Mtu huyo aliyefahamika kwa jina moja la Amos amelazwa katika hospitali ya Mount Metu mkoani humo...
No comments:
Post a Comment