Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani
(World Economic Forum) na kufanyika New Arusha Hotel jijini Arusha
leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(katikati) Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Richard Sezibera
(kulia), Mkuu wa mkoa Arusha, Magesa Mulongo (kushoto) na aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha, wakifuatilia moja ya mada
zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye kongamano hilo kuhusu ushindani kwa
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa
la Uchumi Duniani (World Economic Forum) na kufanyika New Arusha Hotel
jijini Arusha leo.
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akiteta jambo na Lawrance Masha, wakiwa katika Kongamano hilo.
Wajumbe
wa kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic
Forum) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua
akifungua Kongamano hilo leo katika Hoteli ya New Arusha Hotel jijini
Arusha leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard
Sezibera baada ya kufungua kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi
Duniani (World Economic Forum) na kufanyika New Arusha Hotel jijini
Arusha Jana trh 07.06.13
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
katikati akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kongamano kuhusu
ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais.
No comments:
Post a Comment