Wednesday, June 19, 2013

VURUGU ZA ARUSHA WABUNGE WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI.





Tundu Lissu na Mustafa Akunai wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa sasa.Hii ni taarifa toka kwa kamanda wa mkoa wa Arusha Liberatusi Sabas akihojiwa na radio ya jijini Arusha, Radio Sunrise fm..Kamanda Liberatusi amesema makosa ya Wabunge hao ni haya:

Mkusanyiko usio rasmi

Kufunga barabara

Kuwashambulia polisi

Kamanda amesema watashikiliwa na jeshi la polisi mpaka uchunguzi utakapo kamilika. Hilo ndilo linaloendea  huko Arusha .Hizi ni habari sahihi zilizotolewa na kamanda wa mkoa huo wa polisi, Liberatus Sabasi.

No comments:

Post a Comment