PICHA:
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Jakaya Kikwete akiwa na Makamu
wake Dk Ghalib Bilal wakiwa katika picha ya pamoja na mawaziri katika
sherehe ya kuapishwa kwa baadhi ya mawaziri wapya iliyofanyika Ikulu
jioni ya leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na
Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja
Kotta na familia yake, baada ya kuapishwa
katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa
Naibu Waziri wa Fedha
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange,
kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa
Naibu Waziri wa Maji
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana,
kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa
Naibu Waziri wa Fedha
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa
Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Wageni waalikwa
Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment