- Thadeus Mnene · University of Dar es Salaam(UDSM)hizi ndizo habar za kupewa kiupaumbele japo udaku nao una nafasi yake.. wa2 waone ushetani wa wanasiasa uwizi mtupu hata km wanaiba wapende kwao huyo mbunge wa hilo jimbo utakuta vijana wanamshabikia bila hat kujua utendaji wake na tatzo kubwa ni elimu wa2 wakishapew elfu 5000 mpka miaka tano bac wanafurahiiiiii wakati hata kilo tatu za sukari change hamna... amkeni watanzania chama hakimkomboi m2 bali ni mtendaji makini bila kuangalia chama chake.... huu ni uwizi nu kudhalilisha mama ze2 kwenye kutimiza shughuli zao za nyumbani inaumiza sn
- Innocent Macha · Arusha Catholic SeminaryBwana Mnene,ukichukua dakika kumi na kuzama katika tafakari nzito ya jinsi Tanzania yetu inakwenda na watu wanavyoumia nikiwemo miongoni mwao,machozi yatakutoka kwa uchungu!sisi ndio wabadilisha nchi lakini tulio wengi tunaishia kuongea na ndio maana Kenya tuu ht sio mbali hatuwez kamwe kufanana nao wanamsimamo wa kipekee,tunapaswa kuiga!hizo picha zinaumiza na eti kiongoz wa nchi anasema "tunafurahi mwaka huu umekuwa ni wa mafanikio sana"shame upon him! It real pains!Reply · · January 4 at 10:51pm
- Lucas Robert · University of Dar es Salaamfucking country,fucking goverment yaaaaaaaaaan hli nchi linachosha
- Thabeet Rhizzlemanntiechm · Go and see www.webtechnobus.com at Rhizzlem@nnTHM TeknoBus CompanyIt's a very huge n hard task they perform...lol!Gov'nt should thru her eyes on these kind of problemsReply · · January 4 at 11:53pm
- Bakunda Mordekai · Top Commenter · Lindi High School at Bissiness manHii picha ni mkoa gani na wilaya gani katika tanzania ili tuamini na tu-coment kwa uhakika
- Duliz Zuzzigy Ummar · CambridgeInatia hata uchungu kuangalia dada zetu na mam zetu wanako fata hayo maji hatari tupu
Monday, January 6, 2014
HAYA NDIYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA?? WAKATI KUNA VIONGOZI WENGINE WANAFICHA MABILIONI USWIS,KAZI KWENU WADAU MWAKA 2015!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment