Wednesday, February 19, 2014

TAZAMA PICHA ZA DIAMOND AKIWA NA MASTAA WAKUBWA KAMA Yvonne Chakachaka KWENYE PROJECT YA KUPINGA NJAA AFRICA

Who's this girl????Guess....

 D'banj & Diamond

Diamond with VJ Adam
President himself


Diamond & Yvonne Chakachaka

MWISHO WA DUNIA:KANISA LA WASALI UCHI LAIBUKA...!! TAZAMA PICHA NA STORI NZIMA HAPA..!!


A church in the US state of Virginia, White Tail Chapel, has taken the bizarre decision to allow its congregation attend church services náked. Because according to their leader, Pastor Allen Parker, the clothing requirements of other churches were overly 'pretentious'. So he decided his own flock should be free to forgo such materialism if they desire. Pastor Allen claims that many of the most important moments in the Bible happened while the protagonists were nude, including Jesus' crucifixion and resurrection. Speaking to CNN, Mr Parker said: 'When he [Jesus] was born he was náked, when he was crucified he was náked and when he arose he left his clothes in the tomb and he was náked. If God made us that way, how can that be wrong?' Mr Parker is believed to have drawn at least some of his opinions on nudity from the book of Genesis, in which Adam and Eve were originally described as 'both náked, the man and his wife, and were not ashamed'. It was only after sinfully eating forbidden fruit from the Tree of Knowledge that Adam and Even are said to have seen their nudity as shameful, at which point they sowed fig leaves into loincloths. Although the church allows worshipers to attend services fully náked, many members decided they would rather continue to attend fully clothed, particularly when in mid-winter, while others opt to just reveal their breásts or genitáls. The idea is that núdity is 'the great equaliser', reminding all those gathered in the church that they are simple human beings and that, beneath any personal wealth or glamorous outward appearance, they are all more of less the same beneath the clothing. 'There's not a feeling that you have to be better than one another, physically. We're humans, we have scars, we have what we have. It's learning to love and accept that,' Mr Parker says. -

Monday, February 17, 2014

TAZAMA PICHA 20 ZA SHOW KALI YA DIAMOND ALIYOFANYA JANA COCO BEACH NI NOMAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!




Baada ya kuwasili

Nikiongea na media kabla ya show kuanza















TAZAMA PICHA ZA MSANII LULU ALIPOKUWA MAHAKAMANI LEO KUSIKILIZA KESI YAKE.








Tanzania kushirikiana na ufaransa katika masuala ya mabadiliko ya Tabianchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mheshimiwa Dr Bilinith Mahenge (wa kwanza kushoto) akifutiwa na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bwana Marcel Escure( kulia)Ofisini kwa Waziri wa Mazingira, wakizungumzia masuala ya Mazingira kuhusu mabadiliko ya Tabianchi na jinsi Tanzania itakavyoweza kushirikiana na ufaransa katika kufanya kazi kwa pamoja . Picha zote kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mheshimiwa Dr Bilinith Mahenge (wa kwanza kushoto)akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bwana Marcel Escure (pili kushoto), jinsi Tanzania itakavyoweza kushirikiana na Ufaransa katika kukabiliana na masuala ya mabadliko ya Tabianchi na watakavyofanyakazi kwa pamoja. Wa pili kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Ufaransa Bwana Frangois Leonardi na ( wa kwanza kulia) ni Mkurungenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Richard Muyungi anayeshughulikia masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais.

Vyakula vya watoto vyadaiwa kuwekwa dawa za kulevya.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Temeke, Oliver Mwambope (kushoto) akifafanua jambo mbele ya Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile (wa pili kulia) wakati wa mkutano wa baraza ya vijana wilayani humo uliofanyika mwishoni mwa wiki, Kibada, Dar es Salaam. Picha na Maimuna Kubegeya 
Na Maimuna Kubegeya, Mwananchi
Kwa ufupi
Ni mbinu ya wauzaji kuongeza idadi ya watumiaji,inasemekana huwekwa kwenye vyakula vya watoto.
Dar es Salaam. Tahadhari imetolewa kwa wazazi kuwa makini na vyakula wanavyokula watoto wao kufuatia kuibuka kwa mbinu mpya ya wauzaji dawa za kulevya kuweka dawa zao hizo kwenye vyakula vinavyopendwa na watoto.
Akihutubia kwenye mkutano wa Baraza la Vijana wa Wilaya ya Temeke, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile amesema, wauzaji wa dawa za kulevya kila siku wamekuwa wakibuni njia mpya za kuhakikisha wanapata kundi kubwa la watumiaji wa dawa hizo.
Katika kuhakikisha dhamira yao hiyo inatimia, hivi sasa wamebuni njia mpya ya kuweka dawa hizo kwenye vyakula vidogo vidogo vinavyopendwa na watoto kama vile kashata na ubuyu.
“Ni jukumu letu sote pamoja na nyinyi vijana ni kuelekeza nguvu zetu katika mapambano ya dawa za kulevya kwani, kwa sasa yanaonekana kuwa janga la kitaifa kutokana na kuathiri nguvu kazi kubwa ya taifa letu,” alisema.
Amesema takwimu za kitaifa za matumizi ya dawa za kulevya kwa Wilaya ya Temeke siyo nzuri kwani zinasikitisha mno, kwani mmoja kati ya wanawake watatu wanaotumia dawa hizo ameathirika na Ukimwi huku wa wanaume wawili kati ya wanne wameathirika na Ukimwi.
Kuhusu magonjwa mengine, amesema kama yale ya homa ya ini pia ni hatari kwa afya na huwaandama vijana hao.
Naye Mwenyekiti wa Vijana wa Wilaya ya Temeke, Oliver Mwambope amesema, kutokana na ukweli kuwa vijana hujiingiza kwenye wimbi la matumizi ya dawa za kulevya, chama chake kimeweka utaratibu maalumu wa kupambana na tabia zote hatarishi zikiwamo zile za matumizi ya dawa hizo.
Mara kwa mara tumekuwa tukiendesha kampeni za kupambana dawa za kulevya pamoja na tabia nyingine hatarishi.
Pamoja na utaratibu huo, Mwampombe alisema, hutumia hadhira hususani zinazowahusu vijana kukumbushana kuhusiana na mapambano hayo.

Baraza la Vijana wa Temeke, hufanyika kila mwaka mara moja likiwajumuisha wajumbe wa umoja wa vijana wa vijana kutoka katika kata zote za majimbo ya Temeke na Kigamboni wakilenga kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa maendeleo yao.

AY NA DIAMOND WAJIUNGA NA WASANII WAKUBWA WA AFRIKA KTK KAMPENI YA KUHAMASISHA KILIMO KAMA NJIA YA KUPIGANA NA UMASKINI NA NJAA.




Mastaa wa Bongo Fleva,AY na Diamond wameelekea nchini South Africa kujiunga na wasanii wengine zaidi ya kumi kutoka pembe zote za Africa kwa ajili ya kusapoti na kurekodi ngoma kuhamasisha vita dhidi ya umaskini na njaa kwa kutumia kilimo.

ONE ni kampeni ambayo ilianzishwa na msanii kutoka kundi la U2 anaitwa Bono 2004 na ameshachangisha mamilion ya dola kwa ajili ya kusaidia maskini na matajiri mbalimbali huchangia project hiyo akiwemo Bilionea Bill Gates na mkewe Melinda Gates.chanzo Clouds fm

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA

Polisi mkoani Iringa wakiwa  wameuzua msafara  wa mgombea  ubunge jimbo la Kalenga,  Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu.
Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya  kuruhusiwa  gari lake kupita 




Hapa  polisi  wakimtazama  mgombea  huyo akipita  mbele yao
 Habari kamili  itakujia  hivi  punde  hapa  endeleo  kutembelea mtandao  huu

PICHA NA FRANCIS GODWIN

Thursday, February 13, 2014

HUYU NDIO DIAMOND KABLA HAJAWA SUKARI YA WAREMBO,TAZAMA PICHA 5 NA UJUE MAMBO AMBAYO ULIKUWA HUYAJUI.




Diamond-Wema-Baba-yakeDiamond-Wema-Baba-yake

Mambo matano Yatakayokugusa katika maisha ya Diamond Platnumz
01. Diamond Platnumz aliachwa na baba yake
Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na baba yake kumuacha bila msaada wowote. Hapa chini huyo ndiyo baba yake diamond.
02. Chumba  kupangishwa ili kumsomesha
Baada ya wazazi wake kutengana, Diamond aliamia kwa bibi yake huko tandale na ilipofika muda wa yeye kwenda sekondari ilibidi bibi yake apangishe chumba kimoja ili Diamond aende shule na ikabidi alale chumba kimoja na bibi na mama yake.
Diamond-na-bibi-yake
03. Aliacha shule kwa kukosa Ada
Diamond alikua na akili darasani na
alipomaliza elimu yake ya O’level ilikosekana pesa ya kumpeleka A’level na hapo ndio ilikua mwisho wa elimu yake.
diamond-utotoni-slider
04. Diamond ameshafanya kazi viwandani, Kafanya kazi za kupigisha simu , kuuza mitumba na kuuza maji.
Kuna kipindi Diamond alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha mabegi kilichoko Mikocheni na kulipwa mashahara wa shilingi 2,000 kwa masaa 8.
Diamond-zamani
05. Mama yake alisaidia sana kutoka kwake
Mama yake alikuwa anampeleka kwenye talent show na kumsubiria hadi usiku mpaka aperform ndo wanarudi wote. Ndugu zake wengine waliona anamdekeza mwanae.
Diamond-na-mama-yake