Spika wa
Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa
katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la
Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge
kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa
Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo.
Spika wa
Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe. Job Ndugai
(kushoto), Katibu wa Bunge (Wa pili Kulia) na Mhe. Hamadi Rashid Mohamed
Kulia wakiangalia baadhi ya maboresho yaliyofanywa katika Ukumbi wa
Bunge kwa ajili ya Bunge la Katiba.
Muonekano wa Ndani ya ukumbi huo baada ya kazi ya uwekaji viti kukamilika.
Mojawapo ya viti maalum vilivyowekwea katika ukumbi huo kwa ajili ya matumizi ya watu wenye ulemavu.
Viti vyote vipya vina nembo ya taifa.
No comments:
Post a Comment