Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mheshimiwa Dr Bilinith
Mahenge (wa kwanza kushoto)akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini
Tanzania Bwana Marcel Escure (pili kushoto), jinsi Tanzania itakavyoweza
kushirikiana na Ufaransa katika kukabiliana na masuala ya mabadliko ya
Tabianchi na watakavyofanyakazi kwa pamoja. Wa pili kulia ni Msaidizi wa
Balozi wa Ufaransa Bwana Frangois Leonardi na ( wa kwanza kulia) ni
Mkurungenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Richard Muyungi
anayeshughulikia masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika Ofisi ya
Makamu wa Rais.
No comments:
Post a Comment