Jaji
Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman (kushoto) mstari wa kwanza
akiwa katika maandamano ya siku ya sheria jana na baadhi ya majaji
kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .
Bendi ya polisi ikiongoza maandamano ya siku ya sheria katika viwanja
Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads yaliyofanyika jana jijini Dar
es Salaam Rais
Jakaya Kikwete akipokelewa (kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania
Mohamed Chande Othman (kulia) leo mara baada ya kuwasili kwenye
maadhimisho ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji
kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads
Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba leo kwenye maadhimisho ya siku
ya sheria kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads Jakaya
Kikwete akipokelewa (katikati ) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed
Chande Othman (kulia) jana mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho
ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji kwenye
viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .
Picha Magreth Kinabo – MAELEZO
No comments:
Post a Comment